Rais Magufuli Katengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa(NHC).
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Rais
Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Blandina Nyoni na kuivunja bodi hiyo.
Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye.
Comments