
Mshambuliaji huyo amekuwa si mtu mwenye furaha na kuonekana hapendwi katika uwanja wao wa Old Trafford.
Pogba
yupo katika kikosi cha Ufaransa kwa ajili ya michezo ya kirafiki
dhidi ya Colombia na Urusi alionekana kutopendezwa kwa kufanyiwa
madadiliko na timu yake ya Manchester United katika mchezo wa jumamosi
dhidi ya Brighton .
Didier amesema mengi atayasikia kuhusu hilo
kwa Pogba ni hali ambayo haifai, United watakuwa na mchezo mwingine
wa ligi kuu dhidi ya Swansea tarehe 31 Machi.
United itarudi katika mechi za ligi ya Uingreza dhidi ya Swansea mnamo tarehe 31 Machi.
Pogba alianzishwa katika kikosi cha United dhidi ya sevilla
katika mechi ya vilabu bingwa Jumanne iliopita baada ya kukosa
kushirikishwa katika mechi ya ushindi dhidi ya Liverpool kutokana na
tatizo la jeraha.
''Sijui kwa nini iwe hivyo, aliongezea Deschamps. Ni kwa nini mambo yalifikia kiwango hicho, lazima kuna sababu''.
''Mimi huzungumza sana na wachezaji katika kambi ya mazoezi ili kujua hisia zao . Sio Pogba pekee''.
Pogba
alijiunga na United mwaka 2016 kwa ada ya pauni milioni 89 na mpaka
sasa ameisaidia United kushinda Kombe la ligi na Europa League msimu
uliopita.

chanzo:Bbc.
Comments