Spika wa bunge atuma salamu za rambirambi kifo cha mzee Kingunge.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa ameshtushwa na msiba wa Mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngombali Mwiru kilichotokea katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
Soma taarifa kamili;
chanzo:zanzibar24.

Comments