Serikali Ya Tanzania Yaishukuru Serikali Ya Japani Kwa Ushirikiano.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao na Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (wa kwanza kulia) kilichofanyika jana  ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
chanzo:Mpekuzi.

Comments