
Imedaiwa na muendesha mashtaka Nyasi Ali mbele ya Hakimu Ali Ameir
kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo mnamo tarehe 3 mwezi wa 10 mwaka
jana saa 7 mchana huko Fuoni Mambo sasa Wilaya ya Magharib B.
Mtuhumiwa alimuua marehemu huyo kwa kwakiumtia katika ndoo iliyojaa maji, na kusababisha kifo chake.
Mtuhumiwa huyo hakutakiwa kujibu chochote kwakuwa kesi yake
inataarishwa kusikilizwa Mahakama kuu na amepelekwa rumande hadi tarehe
13 mwezi ujao kesi yake itakapotajwa tena.
chanzo: zanzibar24.
Comments