Jeshi la Polisi Mjini Unguja latoa tathmini ya matokeo kwa wiki.

Related image
Kamanda wa Polis Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja Hassani Nassir Ali amesema bado waeaendelea kusimamia usalama bara barani na kudhibiti vitensdo vya uhalifu kiholela.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake muembe madema kuhusiana na matukio ya wiki iliyopita  yaliotokea sehem mbali mbali ndani ya mkoa huwo.

Amesema kuwa wiki iliyopita kuna taarifa ya vifo vilivotokea tarehe 1-2 huko uwanja wa ndege wa zanzibar ndege kuwaka moto na kusababisha vifo vya marubani walio katika ndege hiyo, tarehe 2-2 kukutwa maiti ndani ya chumba huko tembo hotel aliefahamika kwa jina la edward marcelo raia wa ajentina.

Kwa upande wa opresheni zaotarehe 30-1 wamemkata juma khamis juma akiwa na chupa za drop  12 zenye pombe aina ya kienyeji,31-1 ali khamis ali akiwa na majani makavu aina ya bangi yakiwa ndani ya kisado, 1-2 ali khamis ramadhani akiwa na mafurushi 4 ya majani makavu[bangi].

Ajali barabarani kuna ajali 3 zimetokea na 1 imesababisha kifo tarehe 28-1 huko m,boriborini gari kumgonga kassim abdallahn naothmani haji hatimae kufariki dunia pia kuna makosa 191 yamekatwa na kufikishwa mahakani na kuchukuliwa sheria.

Aidha kwa upande wa suala la bodaboda barabarani amesema wanaendelea  na kuona kwamba watahakikisha kuwa zoezi la kuondoshwa  usafir huo linafanikiwa ndani ya mkoa wa mjini magharibi.

Comments