IGP Simon Sirro amuapisha Kamishina wa Polisi Zanzibar kwa niaba ya Rais Magufuli.

February 10, Rais alimpandisha cheo Mohamed Hassan Haji  kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna wa Polisi (CP), na kisha kumteua kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. 
 
Leo, February 12, IGP Simon Sirro amuapisha Kamishina huyo  kwa niaba ya Rais Magufuli. 

Tazama tukio hilo hapo chinii
 
chanzo:Mpekuzi.

Comments