Habari Picha: Makamu wa rais afungua jengo la upasuaji maswa.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisoma maneno yalioandikwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya kufungua
jengo la upasuaji kwenye hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais akimsabahi Mtoto Mchanga pamoja na Mama yake Bi. Mariam Patrik
mkazi wa Nyashimba ambaye amejifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali
ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Simiyu
mara baada ya kufungua jengo la Upasuaji lililopewa jina la Samia Suluhu
Hassan Operating Theatre. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya wilaya ya Maswa mara baada ya
kufungua jengo la upasuaji. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Comments