Serikali yatoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa homa ya Chikungunya.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa homa ya Chikugunya ambao umeripotiwa na vyombo vya habari kutokea jijini Mombasa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya wanasema kuwa ugonjwa wa Chikunganya unasababishwa na kirusi ambacho kinaenezwa na mbu wa aina ya Aedes na kusema ugonjwa huu si mgeni nchini Tanzania kwani ulishawahi kutokea.
 
chanzo:zanzibar24.

Comments