
Meli hiyo inadaiwa kusafirisha vilipuzi hivyo kutoka Uturuki kwen da
Libya kinyume na marufuku iliyowekwa ya kutosafirisha silaha kwenda
Libya.
Kwa mujibu wa Mtandao wa BBC Maafisa wanasema meli hiyo ilikuwa
imebeba kreti 29 zilizojaa vilipuzi pamoja na kemikali zinazotumiwa
kuunda vilipuzi.
Wizara ya Usafiri wa Majini nchini humo kupitia shirika la habari la
Ugiriki la ANA imesema meli hiyo ilisimamishwa ikiwa katika kisiwa cha
Crete kusini mwa Ugiriki wikiendi iliyopita baada ya kutiliwa shaka na
Jeshi la Usalama la Majini.
Chanzo:BBC
Comments