Dkt. Shein akifungua barabara ya Jendele, Cheju hadi Unguja Ukuu.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Barabara
ya Jendele,Cheju hadi Unguja Ukuu yenye urefu wa Kilomita 13
iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein hafla
iliofanyika Cheju Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra
shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein
akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na
Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra
shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein
akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja
Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra
za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein
wapili kulia akitembee kwa miguu baada ya kuifungua Barabara ya
Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni
miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Baadhi
ya Wageni waalikwa pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika
Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya
Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka
54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe
akitoa maelezo ya kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya
Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja iliofunguliwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali
Mohammed Shein ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya
Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Abeid Karume akitoa
hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla Ufunguzi wa Barabara ya
Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona yenye urefu wa kilomita 13 Wilaya
ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya
Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed
Shein akisisitiza jambo alipotoa Hotuba ya Ufunguzu wa Barabara ya
Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona yenye urefu wa kilomita 13 Wilaya
ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya
Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Kulia yake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar
Kheri na kushoto yake ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji
Balozi Ali Abeid Karume .
Comments