Miss
Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ametangaza rasmi kujivua uanachama wa
Chadema na kurudi kwenye chama chake cha zamani cha CCM.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema Sepetu amesema hawezi kuishi kwenye nyumba inayomkosesha amani ya nafsi.
“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani“ameandika Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Mapema mwezi Februari mwaka huu mrembo huyo alitangaza kuihama CCM na kujiunga Chadema akisema “Nimeamua kufanya uamuzi wa kuhama chama cha Mapinduzi na hivi sasa nataka kuhamia Chadema.

Sitaki ionekane kwamba labda
nimepata hasira kulingana na hizi tuhuma za hapa katikati ambazo
zimenikabili. Lakini nataka nionekane nimefanya maamuzi kama binadamu
yeyote ambaye angeweza kufanya.
Nadhani wote mnajua kuwa nilishawahi
kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi, nilikuwa nalisema kwa kujiproud nikiwa
nina uaminifu mkubwa kwamba mimi nitasimama kama kweli kada wa Chama
cha Mapinduzi”.
chanzo:Mpekuziblog.
Comments