
Alikamatwa siku kadhaa baadaye, baada ya rafiki yake mmoja kumuonesha mama yake video hiyo.
Kisa hicho kilitokea katika mji wa Wenxing kwenye mkoa wa Sichuan.
Polisi walithibisha kisa hicho kwa BBC lakini hawakutoa taarifa zaidi wakisema kuwa bado kinachunguzwa.
Mvulana huyo alimuua mama yake baada ya kugombana siku ya Jumapili, iliripoti Radio Free Asia.
Kisha akamkata kichwa na kukiweka kwenye mfuko kabla ya kukitupa, kwa mujibu wa ripoti.
Mvulana huyo anaripotiwa kukamatwa akiwa shuleni.
chanzo: zanzibar24.
Comments