LIVE: Heshima za Mwisho kwa Miili ya Wanajeshi wa JWTZ Waliouawa, DR CONGO

Image may contain: one or more people and people standingfuatilia matanagzo ya moja kwa moja ya kuiaga miili ya wanajeshi 14 walio uwawa huko Jamhuri ya Kidemocrasia Congo DRC..
Viongozi Mbalimbali wakiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Magufuli pamoja na Raisi Mstaafu Jakaya Kikwete wanaongoza zoezi la kuaga miili ya Wanajeshi hao.



Comments