Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto
akiangalia mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya
utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora jana.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia jana
asubuhi alishiriki mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa Mkoa
wa Tabora, katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni
kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati
wote .
Picha na Jeshi la Polisi
chanzo:Mpekuziblog.
Comments