.kwa mujibu wa tarifa ilio tolewa na kamanda wa polisi mkoa kusini
pemba kamishina msaidizi mwandamizi Mohamed Shekhani Mohamed amesema
gunia 16 wamezikamata zikiwa ndani ya gari ya Noha majira ya saa 2 usiku
ikiwa imegesha karibu na kivuko cha ukaguzi wa karafuu ngwachani na
gunia 10 wamezikamata zikisadikiwa kuwa wamiliki wamenunua kwa njia isio
halalali.
Amesema karafuu hizo tayari zimepelekwa katika shirika la zstc
zimepimwa na kufikia kilo 1410.5 zenyethamani ya ziadin ya sh milioni 18
waolizo shikwa nazo watuhumiwa hao.
Mapema mkuu wamkoa kusini pemba bimwanajuma majidi abdala akiwa
katika shirika la zstc kushhudia makabidhiano ya karafuu hizo amesema
inaonekana kuna wakulima bado hawaja taka kufata sheria na utaratibu
hivyo kuanzia sasa watafanya msako wa nyumba kwanyumba kuhakikisha
karafuu zote zinapelekwa katika shirika la zstc.
Kwa upandewake mkuu wa wilya chake amawataka wakulima kuacha kuza
karafuu kwa watu wakawaida kwani licha ya kuwa nikinyume na sheria
lakini pia pishi wanazo uzia zinawapunuja.
.Baadhi ya watuhumiwa hao wakishuhudia karafuu zao kukabidhiwa
shirika la zstc wakiwa kwenye ulinzi mkali wa wavyombo vy ulinzi
wamesema wao hukusanya karafuu hizo nakisha kuzi peleka kuuza shirika
la zstc wakitegemea kupata faida kidogo.
chanzo:zanzibar24.
Comments