
Hayo yamesemwa na meneja ufundi wa mamlaka ya maji safi MUWASA
mhandis BURTON MAJIGILI amesema hayo alipokua akitoa ufafanuzi wa
ukamilishwaji wa mradi mkubwa wa maji wa Bukanga katika kikao cha
madiwani hivi karibuni.
Mhandisi MAJIGILI amesema kutokamilika kwa mardi huo kwa muda
uliopangwa kumetokana na kazi kubwa ya kubadilisha mfumo wa Zamani wa
kusambaza maji na kuweka mfumo mpya wa mabomba ya usambazaji maji ambao
unataraji kukamilika mwezi Dec. 30 mwaka huu na hivyo kutoa matumaini
mapya yanayolenga kuondoa tatizo la maji linaloikabili manispaa ya
musoma kwa muda mrefu sasa.
Hata hivyo kauli za kukamilishwa kwa mradi huo mkubwa wa maji
zimepokelewaje na madiwani hao ambao kiu yao ni kuona wananchi wao
wanaandokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama.
chanzo:zanzibar24.
Comments