
Taarifa kutoka kwa Sheha wa shehia hiyo Juma Mkuza Juma amesema kuwa
Mtoto huyo alifika nyumbani kwa sheha huyo majira ya saa 12 asubuhi na
kumueleza sheha kuwa,
alifungwa kamba na wazazi wake hao na badala yake
kumpiga na hatimae kumtia pilipili na chumvi katika sehemu zake za siri
na baada hapo mtoto huyo baada hapo alikimbilia kwa shangazi yake na
alifanikiwa kutiwa asali na maziwa.
Mtoto huyo amepatiwa matibabu katika hospitali ya Makundushi na
kuruhusiwa kwenda nyumbani, na wazazi wake wameshapelekwa katika kituo
cha Polisi cha Makunduchi kwa hatua za kisheria.
chanzo:zanzibar24.
Comments