Lowassa ahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Kenyatta.

View image on TwitterKiongozi wa upinzani nchini Tanzania Edward Lowassa ni miongoni mwa wageni waliofika Kasarani kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Bw Uhuru Kenyatta hii leo November 28, 2017.

Picha ikimuonesha Lowassa akiwa ameketi Kasarani.


chanzo: zanzibar24.

Comments