
Akizungumza na Zanzibar24 amesema Mfumo huo haukuwa salama
kiafya jambo ambalo lingepelekea kutokea kwa maradhi katika chinjio
hilo.
Aidha amefahamisha kuwa hivi sasa wanampango wa kulifanyia
matengenezo yatakayolifanya chinjio hilo kuwa na kiwango cha
kuridhisha ambalo halitoathiri mazingira ya eneo hilo na watumiaji.
Hata hivyo amewataka wafanyabiashara wa nyama kufuata sheria
na kutumia machinjio yaliyothibitishwa kitaalamu ili waweze
kuchinja wanyama wao katika sehemu salama na safi kwa matumizi ya
mwanadamu.
chanzo:Zanzibar24
Comments