Chama
cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki ambazo
wagombea wa Chadema wamejitoa. Kata hizo na matokeo yake ni kama
ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin
(Chadema) kura 608.
Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na
Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki
Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.
chanzo:Mpekuziblog.
Comments