akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini
Magharibi, Hassan Nassir Ali, amesema tukio hilo lilitokea Novemba 26
mwaka huu saa 4:30 huku chanzo cha tukio hilo likiwa halijajulikana.
Alisema jeshi la polisi linaendelea na upelelezi wa tukio hilo ili kubaini chanzo cha Moto huo.
chanzo:zanzibar24.
Comments