
Upanuzi wa bandari hiyo unafanywa na kampuni ya China Harbour
Enginering CO kutoka nchini China, chini ya usimamizi wa Bi.Anastazia
Saled, ambapo mbali na kuongezwa kina cha Bandari pia watajenga gati
mpya kwa ajili ya kushusha magari.
Aidha Meneja huyo amewatoa wasiwasi watumiaji wa bandari hiyo kuwa
ujenzi huo hautaadhiri utoaji wa huduma zozote zile bandarini hapo.
chanzo:zanzibar24.
Comments