Uzinduzi wa meli ya mafuta na gesi asilia yazinduliwa ZANZIBAR. October 27, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Meli ya utafiti wa mafuta na gesi asilia imezinduliwa ZANZIBAR ili kuweza kufanya tafiti mbali mbali juu ya kuwepo kwa mafuta na gesi. Mgeni rasmi katika uzinduzi huwo alikuwa makamo wa pili wa Rais Zanzibar Mh. Baloz Seif Ali Iddi. Comments
Comments