
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga Simoni Haule amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa 10 jioni.
“Chanzo cha tukio ni kwamba marehemu alikuwa na tatizo la
upungufu wa nguvu za kiume na kuamua kwenda kwa mganga huyo ili atibiwe
ndipo mganga akatumia njia ya kumuingiza unga unaosadikiwa kuwa ni dawa
ya kienyeji kwenye tundu la uume kwa kutumia pampu ya baiskeli akawa
anapampu kama anajaza upepo na kusababisha marehemu kuishiwa nguvu na
kutoka damu nyingi kwenye uume na kusababisha kifo chake”,ameeleza Kamanda Haule.
Tayari mtuhumiwa anashikiliwa na jeshi la polisi.
chanzo: zanzibar24.
Comments