
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini
Unguja Juma Sadi Khamisi amesema kuwa katika utafiti wanaoufanya mpaka
sasa wameweza kupata jina la mtuhumiwa mmoja ambae wanamtafuta na ambapo
watafanikiwa kumpata itakuwa njia sashihi ya kuweza kuwapata na
wahusika wengine.
Hata hivyo Kamanda Sadi ameifahamisha jamii kutochukua hatua mikononi
mwao nakuacha tabia kama hiyo na watahakikisha waliofanya kitendo hicho
watakamatwa na watafikishwa kwenye vyombo husika.
Baba wa mtoto huyo amefunguka kwa kusema kuwa “mwanangu
wamempiga mapanga sisi tulipopata taarifa tulimpeleka kituwoni
nakamakawaida tukapewa ruhusa ya kuenda Hospitali, hali yake ni mbaya
kwani wamem`chinja mkono, miguu, alimradi wamemchinja vibaya vibaya.”
Hivi sasa Kijana Hamadi yupo katika Hospitali ya Mnazimmoja na hali yake sio nzuri.
chanzo:zanzibar24.
Comments