
Kwamujibu wa maelezo aliyoyatoa mtuhumiwa mahakamani hapo kwamba,
mtuhumiwa huyo alikiri kosa hilo na hatimae Mahakama ilimuamuru aanze
kulipa fedha hizo kidogo kidodo kwa muda wa miezi sita ziwe zimesha
kamilika.
Siku yamwanzo aliyopangiwa kulipa pesa hizo mtuhumiwa huyo alifika
Mahakamani hapo na kuanza kulipa elfu kumi na tano kitendo ambacho
Mahakama haikuridhia na ndipo Mahakama ilipomuamuru mtuhumiwa kwenda
rumande hadi tarehe 20 Septemba ili iwe fundisho kwake.
chanzo:zanzibar24.
Comments