Mbunge
wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa (CHADEMA) Tundu Lissu
ambaye anapatiwa matibabu nchini Kenya kufuatia kujeruhiwa kwa risasi na
watu wasiojulikana siku Septemba 9, 2017 amezinduka na kutoa neno kwa
Mwenyekiti wa CHADEMA.
Katika
ujumbe amboa umewekwa na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa
unasema kuwa kiongozi huyo alipopata fahamu aliweza kutoa maneno
machache akimtaka Mwenyekiti kuendeleza mapambano.
Tundu
Lissu kwa sasa amelazwa nchini Kenya akipatiwa matibabu jijini Nairobi
kufuatia kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Makao Makuu ya nchi
mjini Dodoma siku ya Alhamis saa saba na nusu
Comments