![]() |
![]() |

![]() |
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, akizungumza na wanafunzi na wazazi wa Chimba wilaya ya Micheweni Pemba, mara baada ya kuweka jiwe la msingi la madarasa matano ya skuli mpya ya Chimba, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku tano kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba). chanzo:zanzibar24. |
Comments