
Hayo yamethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Ahmed
Msangi na kusema uchunguzi zaidi wa tukio hilo unaendelea kufanywa ili
kubaini ni kitu gani kilikuwa chanzo cha tukio hilo.
Majeruhi huyo baada ya kufyatuliwa risasi hiyo alivuja damu nyingi na
kupelekea kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando ambapo
amelazwa.
chanzo: zanzibar24.
Comments