LIVE BREAKING: Watoto watatu wa Lucky Vicent warejea nchini kutoka Marekani.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Tazama hapa moja kwa moja kutoka Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), mapokezi ya watoto watatu wa shule ya Lucky Vicent ambao walinusurika katika ajali iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo la Lotya Arusha. Watoto hao ni Sadia Ismail, Dorene Mshana na Wilson Tarimo walikuwa wakitibiwa huko nchini Marekani. Tazama hapa.
Comments