Suza kupokea mashirikiano na vyuo vikuu vyengine vilioko nje ya nchi.

Chuo cha Zanzibar state university kimesema kiko tayari KUPOKEA MASHIRIKIANO NA VYUO VIKUU VYENGINE VILIOKO NJE YA NCHI katika kubadilishana uzoefu kaika teknolojia ya Tehama ifikapo mwaka 2018-2019.

Akizungumza na zbc mkuu wa chuo cha suza profesa idirisa rai huko tunguuu kufuatia ujio wa siku 2 kwa maprofesa kutoka chuo cha makerere university kiliopo Uganda .


Amesema hivi sasa ulimwengu umekuwa katika somo la Tehama katika suala zima la teknolojia ya habari hivyo ni vyema kwa zbar somo hilo likapewa kipaumbele ili kwenda sambamba na mabadiliko hayo .

Hata hivyo njia watakazo zitumia na wataalamu hao ikiwemo habari na mawasiliano pamoja na utoaji taaluma katika njia ya mitandao.

Akiwasilisha mfumo wa ufundishaji wanaotumia wao mkuuu wa kitengo cha utafiti kutoka chuo cha makerere aminah zawaddekutoka ngazi ya diploma degree master hadi phd ambao ni rahisi katika ufundishaji msafara huo ukiongozwa na profesa paul muyinda . 
chanzo:Zbc.

Comments