Washtakiwa hao ambao kesi zao zimefikishwa mbele ya hakimu mdhamini wa mahkama hiyo muhammed amour, hakimu fatma muhsin, na hakimu chausiku kafuti kuya, chini ya waendesha mashtaka arafa zubeir, sara omar na saidi ally.
Washtakiwa hao nipamoja na aliye tuhumiwa kumtorosha mtoto aliyechini ya uwangalizi wa wazazi wake,
Watuhumiwa hao waliiyomba mahkama kuwapatia dhamana ombi ambalo halikukubaliwa na kesi zao kupangwa tarehe nyengine
chanzo:Zbc.
Comments