Hatua hiyo inakuja baada ya umoja huo kuwa na mfumo wa kuisaidia jamii katika masuala ya maendeleo ambapo mratibu wa ujenzi huo iddi hassan amesema vijana hao wamekuwa na utararibu wa kusaidia maeneo ya jamii na kutoa fursa kwa wananchi kushiriki harakati zinazowahusu.
Matengenezo ya madarasa hayo yanafanywa kwa nguvu ya mbunge wa jimbo la dimani ambapo amekabidhi vifaa mbalimbali vya ujenzi na kuwataka vijana kushiriki harakati za maendeleo.
Wakaazi wa jimbo hilo wameelezea kufarajika na hatua hiyo na kutoa wito kwa wananchi wengine kuunga mkono juhudi hizo.
Katika kuunga nguvu hizo mbunge wa jimbo la diman juma ali juma maekabidhi vifaa vya ujenzi ikiwemo mchanga , matofali, nondo na saruji.
chanzoZbc.
Comments