Yusuf Manji asitisha mpango wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco Beach. June 24, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Yusuf Manji amesitisha mpango wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco baada ya Rais Magufuli kuagiza libaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi. ==>Hapo chini kuna tamko lake ( Libonyeze Kuyakuza Maandishi) chanzo:Mpekuziblog. Comments
Comments