Wananchi wa Jiji La Arusha wakiwa katiika foleni ofisi za Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kulipa Kodi ya nyumba zao ikiwa ni kabla ya mamlaka hiyo kuongeza siku 14 za kulipa kodi hiyo.Picha na Filbert Rweyemamu. |
Hayo yameelezwa leo Ijumaa (Juni 30) na Meneja wa TRA, Temeke, Warioba Kenere, ikiwa ni siku ya mwisho iliyotangazwa na mamlaka hiyo kwa wananchi kulipa kodi ya majengo.
Jana, TRA ilizungumza na Mwananchi na kueleza kuwa hawataongeza muda wa kulipa kodi hizo na badala yake ambao hawajalipa watatakiwa kulipa faini ya Sh 75,000.
chanzo:mwananchi.
Comments