
Tukio hilo limetokea jana juni 13, 2017 majira ya saa nne na dakika
hamsini asubuhi, wakati gari hiyo ilipokua ikitokea kazole na kuelekea
mto mchanga.
Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa kaskazini unguja
Hasina Ramadhan Taufiq amewataja majeruhi wa ajali hiyo kuwa ni Dereva
Mbaraka Mohammed Khamis mwenye umri wa miaka 50 mkazi wa mfenesini,
mwengine ni Emmanuel Maganga Charles miaka 26 mkazi wa Bububu na Ali
Mohammed Juma miaka 29 mkazi wa Donge.
Majeruhi wamelazwa katika
hospitali ya Mnazi mmoja na hali zao zinaendelea vizuri.
chanzo:zanzibar24.
Comments