
Ndege hiyo
iliyokuwa imebeba watu 122 wakiwemo wanajeshi, wanafamilia na wahudumu
wa ndege ilipotea jaan jioni katika ukanda wa bahari ya Andaman.
Miili mitatu ikiwemo ya watu wazima wawili na mtoto mmoja, imekutwa
na jeshi la wanamaji kilomita 35 kutoka pwani ya kusini ya mji wa
Launglon, imesema taarifa iliyotolea kupitia ukurasa rasmi wa facebook
wa jeshi la Myanmar.
Gurudumu la ndege ambalo linaaminika limetoka katika ndege ya kichina ya Y-8-200F pia lilikutwa katika mabaki hayo.
chanzo:zanzibar24.
Comments