Habari Picha ajali mbaya yatokea maeno ya mwanakwerekwe Car Wash.


Leo June 30, 2017 manamo majira ya mchana gari la mzigo lenye number za usajili Z 737 AX, ambalo lilikua na shehena ya mchanga lime pinduka na kuelemea gari ya abiria ya FUONI SAATENI.

Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa rasmi………….
chanzo: zanzibar24.

Comments