Gazeti la Tanzania Daima lakiri makosa, lamuomba radhi Mwanasheria mkuu wa serikali.

Kufuatia toleo la jana gazeti la jambo leo kuchapisha taarifa isiyo na usahihi na kutakiwa kuomba radhi, tayari gazeti hilo limeshatoa barua maalum ya kumuomba radhi kwa Mh.George Masaju pamoja na wengine wote walioguswa na taarifa hiyo.

Angalia muonekano wa ukurasa wa gazeti la jambo leo uliochapisha habari hiyo-:
chanzo:zanzibar24.

Comments