
Trump anatarajiwa kukutana na maafisa wa Ulaya leo Alhamisi. Amekuwa mkosoaji wa NATO na Muungano wa Ulaya.
Baada
ya kuwasilia mjini Brussels, Bwana Trump alikutana na mfalme na malkia
wa Ubelgiji huku maelfu ya watu wakiandamana kupinga kuwepo kwake mjini
Brussels.
Mapewma Trump alikutana kwa muda mfupi na Papa Francis huko Vatican.
Bwana Trump amewalamua wanachama wengine wa NATO kwa matumizi ya
chini kwa ulinzi kuliko kiwango kilichoafikiwa cha asilimia mbili ya
pato la nchi.
Kabla ya mkutano wa leo Alhamisi , waziri wa
mashauri ya nchi za kigeni Rex Tillerson aliwaambia waandishi wa ahabriu
kuwa Trump anataka kuwashinikiza wanachama wa NATO kutekeleza majukumu
yao ipasavyo.
Bwana
Tillerson alisema kuwa Rais Trump ambaye ameshinikizwa na mataiafa ya
Ulaya kuunga mkono mkataba kuhusu hali ya hewa wa Paris, bada hajafanya
uamuzi ikiwa Marekani iatajiondoa kwenye makubaliano hayo.
chanzo:Bbc.
Comments