Tanapa: Watanzania wapewa ofa ya kuingia kwenye hifadhi za wanyamapori bure.

Wizara ya Maliasili na utalii pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na mazingira imetoa ofa kwa Watanzania kuingia kwenye hifadhi za wanyamapori bila kiingilio.

Ofa hiyo ambayo itadumu kwa muda wa siku 3 imetolewa Kufuatia maaadhimisha ya siku ya Mazingira duniani.


chanzo:zanzibar24.

Comments