
Maafisa nchini humo wanasema kuvuja kwa picha hizo
kuna haribu uchunguzi wa polisi na kuondoa imani na washirika wao katika
masuala ya kiintelejinsia.
Picha hizo zinaonesha vitu mbalimbali
ambavyo vingetumika kama ushahidi kama vile betri na vitu vingine vyenye
muonekano wa vilipuzi.
Hata hivyo gazeti hilo la Marekani limejitetea juu ya picha hizo
ambazo imesema zinaashiria kuwa bomu lililotumika katika shambulio hilo
kwa kiasi kikubwa linaonekana kuwa ni la kisasa.
Waziri mkuu wa
Uingereza anatarajiwa kulipeleka suala hilo kwa Rais wa Marekani Donald
Trump wakati wa mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya NATO, ambao
unafanyika leo.
chanzo:Bbc.
Comments