
Madereva wa gari za mchanga ambao ndi waathirika wakubwa wa tukio
hilo wamesema, hawakuridhishwa na hatua iliyofanywa na watu hao
kutokana na kuwasababishia hasara ya magari yao kutoboka mipira
kutokana na misumari hiyo.
Hivyo madereva hao wameiomba serikali ichungeze ili kuwatia mikononi watuo hao wanaowatia wasiwasi wa usalama wa maisha yao.
Nae msimamizi mkuu wa mashimo ya Mchanga Dole chechele Abubakar Mussa
Ali amekilaani sana kitendo hicho na kusema kuwa wanajipanga vizuri na
wanahakikisha kuwapata watu hao ambao ni maadui wa watu na mali zao.
chanzo: zanzibar24.
Comments