Lipumba akanusha; Situmiwi na CCM.



Profesa Ibrahim Lipumba
Mwenyekiti wa CUF, anayetambuliwa na ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Ibrahim Lipumba amekanusha yanayosemwa na watu wakiwamo wanachama wenzake kuwa anatumiwa na CCM kuivuruga CUF.

 Amesema Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif amekuwa akisema mara nyingi kuwa wote wanaompinga wanatumiwa na CCM wakati si kweli.
Profesa Lipumba yupo katika mahojiano ya moja kwa moja sasa hivi yanayorushwa na Televisheni ya Clouds.
chanzo:Mwananchi.

Comments