
Maafisa wanasema hatua hiyo ni muhimu kwa ajili ya
kudhibiti mambo, baada ya waandamanaji elfu 35 waliokuwa wakielekea
mjini na kuongoza moja kwa moja katika bunge la nchi hiyo na katika
makaazi ya Rais.
Wakijaribu kuwatawanya waandamanaji, Polisi wamefyatua mabomu ya machozi katika uwati wa watu.
Tuhuma za rushwa zinazomkabili rais wa nchi hiyo ndizo zilizosababisha mchafuko huo wa kisiasa.
Kuna wasiwasi kwamba kusambazwa kwa wanajeshi kudhibiti mambo kunaweza kuchochea zaidi vurugu.
chanzo:Bbc.
Comments