Habari za hivi punde: Askari Polisi azama Kibonde Mzungu.

jumbaAskari polisi wa kituo cha Unguja Ukuu aliyejulikana kwa jina la Abasi Anasi ametumbukia katika eneo la Fuoni Kibonde mzungu wakati akipita na vespa saa tano asubuhi ya leo.

Mpaka sasa askari huyo bado hajaonekana ila vespa aliyokuwa akiendesha tayari imeokolewa na kikosi cha zimamoto na uokozi.


Tunaendelea kufuatilia kitakachojiri huko.
Chanzo: zanzibar24.

Comments