Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seifa Ali Iddi akishuhudia
daraja la meli mbili Changaweni Likipasuka ikiwa ni katika moja ya ziara
yake ya kuwafariji wananchi waliopatan maafa yanayotokana na mvua
zinazoendelea.
Ziara hiyo anafanyika muda huu katika maeneo mbali mbali huko Pemba.
chanzo:zanzibar24.
Comments