Ubadhirifu wa bilioni 1.3 wawang’oa madarakani watendaji 3 wa Idara za Ujenzi,Maji na Barabara Kigoma.

Mapema akitoa taarifa ya kamati ya maadili katibu wa baraza la madiwani Mussa Hamad amesema uchunguzi umebaini kuwa upotevu fedha hizo katika miradi ya maji,barabara,afya na manunuzi umewahusisha maafisa kadhaana ambao wanatakiwa kufunguliwa mashtaka huku madiwani wakiomba kibali cha kufanyika ukaguzi maalum.
Fedha hizo zimepotea katika kipindi cha mwaka 2013 hadi 2016 baadhi ya watendaji wa manispaa hiyo wamekuwa wakijihusisha na ubadhirifu katika utendaji wao.
chanzo:zanzibar24.
Comments