Sumu isababishayo Kansa imegundulika katika Mafuta ya Alizeti.

Kwa muda mrefu sasa Mafuta ya Alizeti yamekuwa yakielezwa na wataalamu kuwa ni mafuta bora yasiyokuwa ni mazuri hivyo kuwa chaguo la wengi.

Hali inaweza kuwa tofauti baada ya tahadhari iliyotolewa kutokana na utafiti uliofanywa katika mikoa 7 nchini unaoonyesha kuwa ndani ya mbegu za ufura (zinazozalisha mafuta ya Alizeti) kuna sumu kali inayosababisha kansa.

Imeelezwa kuwa sumu hiyo aina ya Aflamatoxin hutengenezwa na fangasi aina ya molds ambao pia huathiri nafaka mbalimbali kama vile mahindi, maharage na kadhalika.
chanzo:zanzibar24.

Comments